Kimaindo
Mandhari
Kimaindo ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamaindo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaindo imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimaindo iko katika kundi la P30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaindo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaindo Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimaindo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cwb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaindo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |