Kimahongwe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimahongwe (lugha))
Kimahongwe ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wamahongwe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimahongwe imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimahongwe iko katika kundi la B20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimahongwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimahongwe Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimahongwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mhb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimahongwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |