Kimachame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimachame ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wachagga, yaani ni lugha moja katika mnyororo wa lugha za Kichagga. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kimachame imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimachame iko katika kundi la E60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimachame kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.