Kiadi (Uhindi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiluoba ya Boga'er)

Kiadi (pia Kibori) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waadi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiadi imehesabiwa kuwa watu 97,000. Pia kuna wasemaji 1090 nchini Uchina (1999); pale huitwa Kiluoba ya Boga'er na wasemaji wake huitwa Waluoba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiadi iko katika kundi la Kitani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadi (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.