Kiluna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiluna (lugha))

Kiluna ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluna. Idadi ya wasemaji wa Kiluna imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluna iko katika kundi la L20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.