Kilui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilui ilikuwa lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi iliyozungumzwa na Walui. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kilui tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha wa Kilui kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.