Kilitzlitz
Mandhari
Kilitzlitz ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walitzlitz kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilitzlitz imehesabiwa kuwa watu 15 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilitzlitz iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilitzlitz kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilitzlitz Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilitzlitz katika Glottolog
- lugha ya Kilitzlitz kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilitzlitz kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |