Kiligenza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiligenza (lugha))

Kiligenza ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waligenza. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiligenza imehesabiwa kuwa watu 43,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiligenza iko katika kundi la C50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiligenza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.