Kilengola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kilengola (lugha))
Jump to navigation Jump to search

Kilengola ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walengola. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kilengola imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilengola iko katika kundi la D10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilengola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.