Kilega-Shabunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kilega-Shabunda (lugha))

Kilega-Shabunda ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walega-Shabunda. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kilega-Shabunda imehesabiwa kuwa watu 400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilega-Shabunda iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilega-Shabunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.