Kilavrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilavrung (pia Kiguanyingqiao au Kikhroskyabs) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiarong. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kilavrung imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilavrung iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilavrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.