Kilashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilashi (au Kilacid) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilashi nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Uchina (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilashi iko katika kundi la Kiburmiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilashi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.