Kilala-Bisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kilala-Bisa (lugha))

Kilala-Bisa ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Walala-Bisa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilala-Bisa imehesabiwa kuwa watu 580,000. Pia kuna wasemaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilala-Bisa iko katika kundi la M50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilala-Bisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.