Kikwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwanga ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakwanga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikwanga imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwanga iko katika kundi la Kinukuma.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.