Kikwakum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kikwakum (lugha))

Kikwakum ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakwakum. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikwakum imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwakum iko katika kundi la A90.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwakum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.