Kikusu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kikusu (lugha))
Kikusu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakusu. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kikusu imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikusu iko katika kundi la C80.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikusu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikusu Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikusu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ksv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |