Kikurumba cha Betta
Mandhari
Kikurumba ya Betta ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakurumba. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikurumba ya Betta imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurumba ya Betta iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikurumba ya Betta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikurumba ya Betta Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikurumba ya Betta katika Glottolog
- lugha ya Kikurumba ya Betta kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikurumba cha Betta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |