Nenda kwa yaliyomo

Kikurti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikurti ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakurti. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikurti imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurti iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.