Kikunda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kikunda (lugha))
Kikunda ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe na Zambia inayozungumzwa na Wakunda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikunda nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 145,000, na nchini Zambia watu 43,800. Pia kuna wasemaji 5500 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikunda iko katika kundi la N40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikunda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikunda Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikunda katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kdn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |