Nenda kwa yaliyomo

Kikumarbhag-Paharia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikumarbhag-Paharia ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamalto. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikumarbhag-Paharia imehesabiwa kuwa watu 12,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumarbhag-Paharia iko katika kundi la Kidravidi ya Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumarbhag-Paharia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.