Kikumalu
Mandhari
Kikumalu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakumalu. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kikumalu imehesabiwa kuwa watu 2580. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumalu iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikumalu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikumalu Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikumalu katika Glottolog
- lugha ya Kikumalu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikumalu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |