Kikui (Uhindi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikui ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakui. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikui imehesabiwa kuwa watu 916,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikui iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini-Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikui (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.