Kikudiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikudiya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakudiya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikudiya imehesabiwa kuwa watu 2800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikudiya iko katika kundi la Kitulu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikudiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.