Kikuanhua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikuanhua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wakhmu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikuanhua imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikuanhua iko katika kundi la Kipalaungiki au la Kikhmuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikuanhua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.