Kikrio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikrio ni krioli nchini Sierra Leone inayozungumzwa na watu wengi katika mji wa Freetown na mazingira yake. Kikrio imetokea misamiati ya Kiingereza pamoja na sarufi ya lugha za Kiatlantiki. Mwaka wa 2016 idadi ya wasemaji ambao hutumia Kikrio kama lugha ya kwanza imehesabiwa kuwa watu 692,000. Tena kuna watu milioni nee ambao hutumia Kikrio kama lugha yao ya pili.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.