Kikorea
Mandhari
Kikorea (kwa Kikorea: 한국어, Hangeul; 한국말, Hangukmal; 조선말, Chosŏnmal) ni lugha ya Korea Kusini na Korea Kaskazini.
Kikorea | Alfabeti ya Kilatin | Kiswahili |
---|---|---|
안녕하십니까 | Annyeong hashimnikka | Habari ya asubuhi! |
안녕하세요! | An-yŏng-ha-se-yo! | Hujambo! |
어떻게 지내세요? | Eotteohke jinaeseyo? | Habari yako? |
네 | Ne | Ndiyo |
아니요 | Aniyo | Hapana |
성함이 어떻게 되십니까? | Sungham ee uttoke daesipnika | Jina lako ni nani? |
어디서 오셨어요? | Eodiseo osyeosseoyo? | Unatoka wapi? |
영어를 할수 있어요? | Yeongeorul malsum halsu isseoyo? | Unazungumza kiingereza? |
감사합니다 | Kamsahamnida | Asante |
一 | il | moja |
二 | ee | mbili |
三 | sam | tatu |
四 | sa | nne |
五 | o | tano |
六 | yuk | sita |
七 | chil | saba |
八 | pal | nane |
九 | gu | tisa |
十 | ship | kumi |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (en) Learning to Speak Korean
- (en) Omniglot
- lugha ya Kikorea kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikorea Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikorea katika Glottolog
- lugha ya Kikorea kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikorea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |