Kikonkani ya Goa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikonkani ya Goa ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagoa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikonkani ya Goa nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 3,630,000. Kuna wasemaji wachache tu nje ya Uhindi, chini ya watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikonkani ya Goa iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonkani ya Goa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.