Nenda kwa yaliyomo

Kikonda-Dora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikonda-Dora ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Waporja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikonda-Dora imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonda-Dora iko katika kundi la Kigondi-Kui.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonda-Dora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.