Kikom (Uhindi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikom ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakom. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikom imehesabiwa kuwa watu 14,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikom iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikom (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.