Nenda kwa yaliyomo

Kikodaku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikodaku ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakodaku. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikodaku imehesabiwa kuwa watu 15,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikodaku iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikodaku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.