Kikisan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikisan ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakisan. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikisan imehesabiwa kuwa watu 141,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisan iko katika kundi la Kidravidi-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikisan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.