Nenda kwa yaliyomo

Kikilivila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikilivila ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakilivila. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikilivila imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikilivila iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikilivila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.