Kikanakanabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanakanabu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wakanakanabu. Mwaka wa 2012 idadi ya Wakanakanabu imehesabiwa kuwa watu 250 lakini kulikuwa na wazee wanne tu ambao wangeweza kuongea lugha ya Kikanakanabu, yaani lugha yao imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanakanabu iko katika kundi la Kitsouiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanakanabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.