Nenda kwa yaliyomo

Kikala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikala (au Kikela) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakala. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikala imehesabiwa kuwa watu 2200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikala iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.