Kikaikadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaikadi ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakaikadi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikaikadi imehesabiwa kuwa watu 23,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaikadi iko katika kundi la Kitamil.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaikadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.