Kikahe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikahe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakahe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikahe imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikahe iko katika kundi la E60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Möhlig, Wilhelm J. G.; Winter, Jürgen Christoph. 1982. Language and dialect atlas of Kilimanjaro. In: Recent German research on Africa: language and culture (Projects of the Deutsche Forschungsgemeinschaft)/Rapport sur la recherche africanistique allemande: langue et culture (Projets réalisés par la Deutsche Forschungsgemeinschaft), pp 62–68. Edited by Bernd Heine. Boppard: Harald Boldt for the Deutsche Forschungsgemeinschaft.
  • Mreta, Abel Y. 1990. The problem of Bantu linguistic affiliation: the case of Chasu, Kigweno, Kikahe and Kirombo. MA thesis. University of Dar es Salaam.
  • Kahigi , Kulikoyela K. (2008). Kikahe: Msamiati wa Kikahe-Kiswahili-Kiingereza na Kiingereza-Kikahe-Kiswahili (Kahe-Swahili-English and English-Kahe-Swahili Lexicon). Languages of Tanzania Project. ISBN 9987691153.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikahe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.