Kikaduo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaduo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina na Laos inayozungumzwa na Wakaduo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaduo nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 180,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Laos (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaduo iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaduo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.