Kikachari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikachari ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakachari. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikachari imehesabiwa kuwa watu 59,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikachari iko katika kundi la Kibodo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikachari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.