Kikachama-Ganjule
Mandhari
Kikachama-Ganjule ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakachama na Waganjule, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikachama-Ganjule imehesabiwa kuwa watu 4070, yaani Wakachama 2680 na Waganjule 1390. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikachama-Ganjule iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikachama kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikachama Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikachama katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kcx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikachama-Ganjule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |