Kijuray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijuray ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajuray. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijuray imehesabiwa kuwa watu 801,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijuray iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijuray kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.