Kijinuo cha Youle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijinuo ya Youle ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajinuo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kijinuo ya Youle imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijinuo ya Youle iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijinuo cha Youle kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.