Kijingpho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijingpho (pia Kikachin) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wajingpho. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kijingpho nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 900,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Uchina (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijingpho iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijingpho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.