Kijiarong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijiarong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiarong. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kijiarong imehesabiwa kuwa watu 83,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijiarong iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijiarong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.