Kijarawa (Uhindi)
Mandhari
Kijarawa ni lugha ya Kiandamani nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajarawa visiwani mwa Andaman. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijarawa imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijarawa iko katika kundi la Kiandamani-Kusini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kijarawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijarawa Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijarawa katika Glottolog
- lugha ya Kijarawa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijarawa (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |