Kiingria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiingria ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Waizhoria. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiingria imehesabiwa kuwa watu 120 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiingria iko katika kundi la Kifini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiingria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.