Kiifo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiifo ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu iliyozungumzwa na Waifo kwenye kisiwa cha Erromanga. Msemaji wa Kiifo wa mwisho alifariki mwaka wa 1954, yaani lugha imetoweka kabisa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiifo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiifo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.