Kiidu-Mishmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiidu-Mishmi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waidu-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiidu-Mishmi imehesabiwa kuwa watu 11,000. Pia kuna wasemaji themanini nchini Uchina ambapo lugha huitwa Kiluoba ya Yidu, na wasemaji huitwa Waluoba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiidu-Mishmi iko katika kundi la Kidigaro.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiidu-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.