Kihungana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kihungana (lugha))

Kihungana ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahungana. Idadi ya wasemaji wa Kihungana katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihungana iko katika kundi la H40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihungana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.