Kihu
Mandhari
Kihu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wahu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihu imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihu iko katika kundi la Kipalaungiki. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kikon-Keu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihu
- lugha ya Kihu katika Glottolog
- lugha ya Kihu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |