Kihoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihoma ilikuwa lugha ya Kibantu nchini Sudan Kusini iliyozungumzwa na Wahoma. Tangu 1975 hakuna wasemaji wa Kihoma tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihoma iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.